Selfika na JF: Snap it. Show it

Hakika

Kumbe style zipo mwee
Kujitesa tu na mavichanio na mavitambaa.
Ooh yeah zipo .. wamama wengi wanaziweka
Vichanio vinatesa na hapo kwenye vilemba hadi uwe na kichwa cha kilemba otherwise unabaki na nywele zako .
 
Nzuriii niliwah weka mara 1 nywele zilipendeza, i wish ingefaa kwa nywele za dawa ningeweka mara kwa mara
Kweli zinapendeza balaaa
Huwazi kusuka wala tena unaweza kukaa nazo hata miezi mitatu.

Huo ndo ubaya wake huo .. nikija kunyoa tu ah naweka siwezi baki kipara .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…