Ila kuna style ukisuka ikifika usiku unaona cha moto .. mda fulani hivi niliona kusuka crotchet kwa rasta nikapenda weh nikaamua nisuke aisee nilijuta kuchana siwezi mpaka watu wanisaidie kuchana after a week hivi nikazifumua .
Hapana hapa nawaza sijui nisuke nini za kukaa mie kiuno cha kusuka kila siku sinaaaaa!! Ebu nishauri nisuke nini nzuri za kukaa!
Nikifumua nakaa kama 2 weeks kisha nisuke sijui nisuke nini