Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe unamuambia mwenzako akumbuke maneno yake na wewe ukumbuke yale uliyotuambia hadi kutufanya wenzio tuonekane hatumpendi mwanamke mwenzetu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Aise Saint anne njoo huku unapitwa eti kumbe Msubhate ni dume na kumsifia kote kule kumbe anatuzeveza tu hapa anatuchora tunaonekana matonji
 
Kumbee hujaona toka jana jamani...

Nilimuomba toka juzi anifundishe mapozi ya kusimama akanikaushia kabisaa jamani, comment zangu kama hazioni...

Jana usiku ndo kinabuma, jamaa ni dume
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi Sakayo una nini lakini eti??
Wallahi nimecheka kwa nguvu!!
Akulipe udenda wako
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kamfanya kaka yetu atoe udenda!!

Tunamdai udenda wa kaka jamani
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]niliona ila nilikuwa na wenge la usingizi kwahiyo nikawa napita kwenye likes tu kama mkuu mkwepu jr
Kumbee hujaona toka jana jamani...

Nilimuomba toka juzi anifundishe mapozi ya kusimama akanikaushia kabisaa jamani, comment zangu kama hazioni...

Jana usiku ndo kinabuma, jamaa ni dume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…