Selfika na JF: Snap it. Show it

Watu walikuwa wanajaribu kutoka kimaisha, ninyi mnawacheka! 🀣
Yaani kuanzia watangazaji hadi wageni waalikwa ilikua vituko.
Nilikua nakipenda sana, maana kilikua kinanipa raha. Walikua wanaonyesha J2 kama skosei

Af wasanii wake hawajulikani, sidhan kama kishawah kutoa msanii hata mmojaπŸ˜…πŸ€£πŸ€£
 
Labda Magret Singano.. unakuta wanafanya wa injili na hip hop πŸ€“πŸ€“πŸ€“
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…