Selfika na JF: Snap it. Show it

Waliniweka chini ya ulinzi km nusu saa hivi,ikapigwa simu Kama najulikana mke ndani au ni mamluki[emoji28]

Baada ya nusu saa kupita nikaambiwa ingia,Ila mambo mengine siyo vizuri kuelezea hapa..Nilikaa mzinga km wiki kisha nikarudi Dar
Hahaha pole mkuu bora kama ulikuwa unajulikana [emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…