MALCOM LUMUMBA
hapa mgumu alikumbana na chomboo aisee.. akapunguza ugumu..
Na Mr. Ebo kanikumbusha mbali sana hapa.. leo nimekuwa na siku nzuri sana kwa hizi ngoma.. nimewambuka hip hop wenzangu.. kitambo.. na sie tulikuwa tuna fuga mi ndevu na nywele ingawa wengine tuna upaa na kuchana 😄😄ilikuwa inataka kutufanya wagumu hovyo