Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,998
- 35,447
Nimetamanii [emoji39] napenda sana njegereDaku[emoji8]View attachment 2178403
Nimetamanii [emoji39] napenda sana njegereDaku[emoji8]View attachment 2178403
Napenda njgere balaa[emoji8]Nimetamanii [emoji39] napenda sana njegere
Umeweka nazi??Napenda njgere balaa[emoji8]
Mambo!!!Oyee[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Ndiyo na nazi[emoji8]Umeweka na nazi??
[emoji847][emoji847][emoji847][emoji847] HulaliMambo!!!
Nmeamshwa na masimu ya wakeshaji [emoji23] nilishalala yaani[emoji847][emoji847][emoji847][emoji847] Hulali
Yaani nikikaa jikoni kupika njegere kama ni nusu zitatoka robo[emoji23]Napenda njgere balaa[emoji8]
Jamani [emoji39][emoji39][emoji39] naweza ingia kwene sahani kabisa utamu wake ni balaaNdiyo na nazi[emoji8]
Na mafuta naona hazichangamki
Wewe ukikaa na mimi nitakua nazipika mwenyewe usimalizie jikoni[emoji23][emoji23]Yaani nikikaa jikoni kupika njegere kama ni nusu zitatoka robo[emoji23]
Maana nikishazichemsha tu,napenda kuzila bila kuunga wala chumvi aisee tamu
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Jukwa la mkesha lipo kuleNmeamshwa na masimu ya wakeshaji [emoji23] nilishalala yaani
Aah wale siwawez nalala zangu mie [emoji2][emoji2][emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Jukwa la mkesha lipo kule
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]njegere unaniachia mie,,maharage unapika mwenyewe[emoji23]Wewe ukikaa na mimi nitakua nazipika mwenyewe usimalizie jikoni[emoji23][emoji23]
Hapana, wewe utamaliza nshakuona [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]njegere unaniachia mie,,maharage unapika mwenyewe[emoji23]
Fanya Fujo Uone!
Siyo baharini tu. Hata huko kwa mitume na manabii wenye hela kamwe hawaguswi na majini wala mapepo; na hata wakikaa pale mbele kabisa karibu na madhabahu ni nadra sana kuona wameanguka nabii akichochea moto wa maombi [emoji848][emoji848][emoji2221]