Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Linazidi nguvu kuta za Yeriko[emoji445]Liimeeee inuuuuu[emoji443][emoji445] limeiinuu [emoji445]liwa neno lakooo
Ooooooooo kama vile janaa nina nguvu leoo na mileee[emoji445][emoji444]
#Sundayvibes#View attachment 2173620
Linazidi nguvu kuta za Yeriko
Linaamuru maji kutoka mawe jangwani
Neno lako limeinuliwa
Limebeba neema ya waliosahaulika
Linajibu maombi yaliyopita kutarajiwa
Neno lako umesema..........
mtu mwenye kitu chake cha kipekee ππ
Ndio nipo namalizia malizia household chores hapa kisha tukasali!Amen Boss Lady....unakwenda kanisani leo? Utaselfika na mavazi ya kanisani tujionee? [emoji91][emoji91][emoji91][emoji8][emoji8][emoji8]
Nini tena mdogo angu?sawa tuuu πππ
Wee wa kishua kwioo[emoji849][emoji849]! mie kapuku njaa kali tu!!!Wewe umetoka familia ya kishua. Ukumbusho huu haukuhusu Boss Lady. Huu ni kwetu sisi tuliotoka vijijini huko!
I hope leo nitaziwahi...Misa njemaNdio nipo namalizia malizia household chores hapa kisha tukasali!
Kama kawa lazima nitupie za ki Sunday!
Umeamkaje baby wake Nuzumtu mwenye kitu chake cha kipekee ππ
Bado sijaamka ka kweli nimejifuka hadi utosini na baridi la hapa.. mtu mwenye kitu chako special habari ya sunday school ππUmeamkaje baby wake Nuzu
Nitakuzabua.. toka lini nikawa mdogo mie.. π¬π¬π¬π¬π¬Nini tena mdogo angu?
Hahaa njema kabisa.Bado sijaamka ka kweli nimejifuka hadi utosini na baridi la hapa.. mtu mwenye kitu chako special habari ya sunday school ππ
Ila hapo usiku usingiz wake unakuaga mtamu balaaπLenie .. ni kujifunika tuView attachment 2173674
Hapana kwakweli.. mtukumbuke na maombi yenu.. hapa nina mood moja tu kanisani siku ingineπππHahaa njema kabisa.
Pole na baridi, nina allergy ya hiyo kitu.
Leo huendi church?
π¬π¬π¬π¬ Joto ni kipengelee.. ila inabidi kuishi nalo tu.. linakata stim.. ile usiku unashtuka mijashoIla hapo usiku usingiz wake unakuaga mtamu balaaπ
Huku jotooo kila saa kushtuka shtuka usiku
Na mashuka meupe yanaletaga raha fulani hivi amaizing kama yanabembeleza mwiliπHapana kwakweli.. mtukumbuke na maombi yenu.. hapa nina mood moja tu kanisani siku ingineπππ
View attachment 2173686
Linaboa sana ndio hivyo hamna namnaπ¬π¬π¬π¬ Joto ni kipengelee.. ila inabidi kuishi nalo tu.. linakata stim.. ile usiku unashtuka mijasho
alafu kitanda kinakuwa laini ukijigeuza kinakubembeleza na springs kwa mbali kama ushakaa kwenye lexus zenye opt ya massage.. unaweza usitoke kitandani ππππ.. na usingizi usikuisheNa mashuka meupe yanaletaga raha fulani hivi amaizing kama yanabembeleza mwiliπ
Kukukumbuka wewe kwa maombi muhimu
sema joto zuri sana kwenye game ππππ hadi cheche zinatoka π¬π¬π¬Linaboa sana ndio hivyo hamna namna
Hapo hata njaa husikiii, hadi mida ya mchana.alafu kitanda kinakuwa laini ukijigeuza kinakubembeleza na springs kwa mbali kama ushakaa kwenye lexus zenye opt ya massage.. unaweza usitoke kitandani ππππ.. na usingizi usikuishe