Selfika na JF: Snap it. Show it

mawardat Nuzulati Mjep
And the rest.. On behalf, We wish y’all Ramadan Mubarak…

Have the best of Maher Zain [emoji94]
InshaAllah is the best song to me, mbarikiwe na hiyo.
Inshaallah - Maher Zain
Madina - Deen Squad
Sidi Mansour - Saber El Rebaï
Jina Langu Ramadhani - Arafa Abdillah
Ya Helwakom - Miami Band
I Love You Mama - Kale Katoto Kameimba Na Mama Yake Sijui Kanaitwa Nani Wanaojua Wanisaidie

Hizo kwangu ndiyo best arabic sijui niseme islamic [emoji16][emoji16] songs hivyo nami nawatakia ndugu zetu waislam wote Ramadhan Kareem na mkiweza msikilize hizo
 
Mwenye yellow tshirt🤔
 
😍😍I love Mama haipiti wiki bila kuisikiliza masikioni kwangu ❤️🙏🏽
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…