Hatujambo shikamoo!Nyie watu humu ndani hamjambo?
Wekeni picha basi aise
Tuanze kwakoPendael24 tupiapo selfii mkuu long time kitambo ujue!
Marahaba.
Kwahio umemind!
kwahio umemind!! 🙄🙄🙄🙄
Ramadhani ndugu yenu 💗Jina langu Ramadhani❤️
Jina la nyingi Neema❤️
Waislam fungeni mpate afya njema❤️
Mwaka huu umekaa njema, kwaresma na ramadhan imekutanaRamadhani ndugu yenu [emoji175]
Nimekuja toka mbalii [emoji175]
Metoka kwa Mola wenu muweza Allah Jalal [emoji175]
Kanipa salamu zenu na zawadi [emoji320] mbali mbalii [emoji175]
Nipokeeni niwe kwenu ndugu zangu [emoji175]
Taafadhaaaliii [emoji175]
Special for me ??Haya Pendael24 uache visasi!! [emoji12][emoji12]View attachment 2172164
Unaipenda mwenyewe filta yako 😆
Umesali njia ya msalaba leo?
Tatizo pesa
Haha naipenda ile yenye love na tarehe chini .Unaipenda mwenyewe filta yako [emoji38]
Kwa kweli leo sijasali ila kesho asubuhi jumuiyani tutasaliUmesali njia ya msalaba leo?
Thank you