ππππ vyakula ndio siri asee.. ma mizizi kula wingi.. kanda ya ziwa oyeeeee πππππNdugu zangu wale nawajua, no wonder hua wanakimbiliwa sana na wadadaππ
Hao na wamasai alooo naskia nao ni hatariπ
Kumbe hiyo ndio siri ya mambo yote
Hapo kwenye sensaπ€£π€£π€£ ishafeli.
Mbali na samli kuna siri nyingine tena. Ukikua na kuwa na mtoto wa kiume kama unataka awe na mzigo wa hatari nitafute bageshi nikuelekeze...100% proved to workNdugu zangu wale nawajua, no wonder hua wanakimbiliwa sana na wadada
Hao na wamasai alooo naskia nao ni hatari
Kumbe hiyo ndio siri ya mambo yote
Hapo kwenye sensaishafeli.
unene hauna dili msukuma nivile wewe wapenda yutongs!!π€£π€£π€£πHujakosea Bosi Lediiiii. Unaupiga mwingi yaani mpaka unatisha. Sema tu ndo hivyo tena...hakuna namna!
View attachment 2169706
Depal na Nuzulati njoeni tushikane huku tupokee salamuππHujakosea Bosi Lediiiii. Unaupiga mwingi yaani mpaka unatisha. Sema tu ndo hivyo tena...hakuna namna!
View attachment 2169706
mpenzi usinipangie cha kusema.. manyama manyama hata nguruwe anayo.. ππππ hakufikii my inspiration... my breath β€οΈβ€οΈππHuyo kanizidi kipenzi kila kitu shimba ya buyenze ana faidi sana
Ok.. Mie chembamba tu Rafiki!View attachment 2169701
Ok.. Mie chembamba tu Rafiki!View attachment 2169701
Kwa kweli kalio ndo habari ya mjini
Sasa hapo kajitu kembamba si kataelea juu TU katachoka mapema!πππ!πΆπ½ββοΈ!
Bageshi nitakutafuta, wacha nikue kue kidogo, nikipata tu babyboy nakuja unipe maujuziMbali na samli kuna siri nyingine tena. Ukikua na kuwa na mtoto wa kiume kama unataka awe na mzigo wa hatari nitafute bageshi nikuelekeze...100% proved to work
Kwa kweli kalio ndo habari ya mjini
Wewe siyo mnene. Wewe ndiyo hasa mwanamke halisi wa Kiafrika anavyopaswa kuwa. Mwili wa wastani, umbo mkatiko, mtako wa uhakika....kila kitu kiko mahali pake yaani. You are perfect Boss Lady na usiruhusu vimbaumbau hivi vikuvuruge na kukuharibia konfidensi yako eti ili uwe mrembo inabidi uwe umekondeana. Siyo kweli hasa kwa wanaume wanaojua hasa mwanamke halisi anapaswa aweje...unene hauna dili msukuma nivile wewe wapenda yutongs!!
π¬π¬
Oyeeeeeeeeπ€£π€£π€£π€£ππππ vyakula ndio siri asee.. ma mizizi kula wingi.. kanda ya ziwa oyeeeee πππππ
Umebarikiwa kipenzi una bongee wowowoπAwapi mizagamuo ya maana ndio kila kitu..ππ
π€£ eti shangazi ππππ! shangazi ebu kwanza tupia hio body tuone kwanza kama kuna ulazima wa hio contribution au fix tu tupia kwanza shangazi!Murembo,hamna wembamba hapo mzigo kama wote,jamani mchangieni shangazi akafanye surgery
Tuombe uzima bageshi. Niliona watoto wa dada wakifanyiwa hiyo procedure (ni ya kukanda tu na mikono)...Madogo wako vizuri sana mpaka leo na bahati mbaya wengine mpaka imewawia vigumu kutulia na mwanamke mmojaBageshi nitakutafuta, wacha nikue kue kidogo, nikipata tu babyboy nakuja unipe maujuzi