9.8ms squared baby wako kashayapitisha, mimi ni nani hata nipinge?Mazuri sana yale mafuta Mama home yalikuwa ni mafuta yake ila kwa sasa nadhani aliyekuwa anamletea hapatikani karudi kwenye nazi.
Nitawachukulia msijali.. ijumaa naenda.. lazima niwebebe.. uhai tu9.8ms squared baby wako kashayapitisha, mimi ni nani hata nipinge?
ukienda misele ya huko utubebeako na sisi basi
Hapana mbona kama uliiona??[mention]mahondaw [/mention] leo ndio nimepishana na gari la mshahara?[emoji2][emoji2]
Nalitoa wapi[emoji1787]
Nakula mgagani sana
Hapana mbona kama uliiona??
mpenzi penda kutumia zabibu kavu zina zuia cancer.. 😊😊Jamani watatuuwa na cancer hawa watu 😬😬
Yana faida nzuri ila hiyo point ya mwisho ulivyoiweka utasababisha yaanze kuadimika sasa na bei wapandishe ujue😂😂Faida zake ni hizi:
- kusaidia kuimarisha mifupa
- kusaidia katika kupunguza uzito
- kuboresha usagaji wa chakula mwilini
- kutibu uvimbe kwenye ngozi
- KUREFUSHA NA KUNENEPESHA MAUMBILE YA KIUME
🤣🤣🤣
😀😀😀😀 ndio ukweli.. na chunguza vijana walio kulia usukumani au walio kulia mafuta ya samli.. mizigo ni ya hatari kama wamechanja.. au fanya sensa huo ukanda.. sema sijui utafanyaje hiyo sensa sasa.. ila huo ukanda ni shidaaaYana faida nzuri ila hiyo point ya mwisho ulivyoiweka utasababisha yaanze kuadimika sasa na bei wapandishe ujue😂😂
Tena Mayutong ya kitasha hayana soko ni kujibondea tu yaani. Mkuu niwache [emoji16][emoji16][emoji16]kumbe hadi wewe upo nchi za mabeberu !!! sasa ma "yutong" unayapataje huko boss
Santee in advance.Nitawachukulia msijali.. ijumaa naenda.. lazima niwebebe.. uhai tu
Lina macho hatari sana.. sema haingii kwenye macho ya Nuzulati wangu 😎😎Tena Mayutong ya kitasha hayana soko ni kujibondea tu yaani. Mkuu niwache [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2169699
AmenSantee in advance.
Mungu atajalia uhai
Shakhalakha!Ok.. Mie chembamba tu Rafiki!View attachment 2169701
Pisiii kaliTena Mayutong ya kitasha hayana soko ni kujibondea tu yaani. Mkuu niwache [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2169699
Saizi yako kabisaaa msukuma!! [emoji12]Tena Mayutong ya kitasha hayana soko ni kujibondea tu yaani. Mkuu niwache [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2169699
🤣🤣🤣🤣🤣Atakua ametingwa!!Shakhalakha!
Bosi Lediiiii !!!!
Leo Mtakatifu Anne sijui yuko wapi. Anapitwa yaani mpaka roho inaniuma [emoji16][emoji16][emoji16]
Duh una kalio si la Nchi hii kitu Africa kusini kwa Wazuru😍Ok.. Mie chembamba tu Rafiki!View attachment 2169701
Ndugu zangu wale nawajua, no wonder hua wanakimbiliwa sana na wadada😂😂😀😀😀😀 ndio ukweli.. na chunguza vijana walio kulia usukumani au walio kulia mafuta ya samli.. mizigo ni ya hatari kama wamechanja.. au fanya sensa huo ukanda.. sema sijui utafanyaje hiyo sensa sasa.. ila huo ukanda ni shidaaa
Hujakosea Bosi Lediiiii. Unaupiga mwingi yaani mpaka unatisha. Sema tu ndo hivyo tena...hakuna namna!Saizi yako kabisaaa msukuma!! [emoji12]