Selfika na JF: Snap it. Show it

Unakwenda kwa miguu au unaiamsha RR? [emoji16][emoji16][emoji1420][emoji1420][emoji1420]
hapa ni mwendo wa ngoko tu.. nakuwa nakutana na watu wazuri wazuri wanafanya zoezi ndio raha yake.. mie bado nipo na ka jaguar kangu.. ingawa soon nina upgrade kabla ya mwezi wa sita.. maana naona mashamba yangu yameiva safi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…