Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,771
Watu wa ajabu sanaaa... πΌπΌπΌKumbeee na huku hua kuna joto balaa itakua mwili umeadaptπ
Yaani watu wanakuaga na mawazo mabaya kama nini, sjui wapoje
tupia basi ππNimeandika nikafuta..
sina mwayatupia basi ππ
πWatu wa ajabu sanaaa... πΌπΌπΌ
eeh hapo unato kama wotee.. na hilo joto eeeh.. uwiii.. inabidi balance ya hatari tofauti na hapo mtihani mzito sana
Masaji mgongoniiiii π΅Ananikanda huku mabegani
Ananishika na hapa.......πΌπΌ....
π΅π΅π΅.....
Umeanza uchawi lini wewe πππ hadi tunabanianasina mwaya
vipi mbona kama ume chill design flani hivi kama imekuingia kichwaniπ
sasa hiyo black and white ya kazi gani.. kwani tupo enzi za mwalimu hapaa πππ.. tupia kama Lenie mwenzako kitu ni πππ
Bulaza bulaza ππvipi mbona kama ume chill design flani hivi kama imekuingia kichwani
Hii hali ya hewa inabidi serikali iingilie kati, haiwezekani watu wafeli kisa mitihani migumuWatu wa ajabu sanaaa... πΌπΌπΌ
eeh hapo unato kama wotee.. na hilo joto eeeh.. uwiii.. inabidi balance ya hatari tofauti na hapo mtihani mzito sana
weee watu wakitenga wanakuwa ma blaza.. na ma sister wa mt padua wa mashariki πππBulaza bulaza ππ
Niwacheee
acha basi fanya muujiza πππKwendraaa
Mbona umefuta sasa jameniKwendraaa
Nakusalimia mkuuAnanikanda huku mabegani
Ananishika na hapa.......πΌπΌ....
π΅π΅π΅.....
Kama sijaelewa vileweee watu wakitenga wanakuwa ma blaza.. na ma sister wa mt padua wa mashariki πππ
πππ alafu wananishanga waingie na duche kwenye exam.. moto ni moto Lenie ..Hii hali ya hewa inabidi serikali iingilie kati, haiwezekani watu wafeli kisa mitihani migumu
Unashindwa tumia hata kibomuu ππKama sijaelewa vile
Utu uzima dawaUnashindwa tumia hata kibomuu ππ