Haiwezekani.. neema alizo mjalia my inspiration
Nuzulati ni kwa ajiri yangu tu kuziona na juzifurahi.. my
Nuzulati sio wajamii ni wanguu.. mtoto wa kike staha.. na kujistiri.. vile vitu wa kuviona ni mie tu.. ila jua tu akiposta watu wanavunjika miguu humu na net ita stuck.. ππππ