Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,771
Ndio maana na kupenda, hekima na busara ni fungu lako katika brain yako.. yani sijui siku zote ulikuwaga wapi ๐๐We si Mwanaume wa kulinzwa hustahili na uzee huu tunalizana wajukuu nao wafanyaje
Mkuu, sio salama hutupii kapicha [emoji6][emoji6]
Mkuu, unanipa cheo cha hovyo! ๐Sawa katibu mwenezi ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Mashangazi huwa waelewa sana.. [emoji4][emoji4][emoji4] mna tuzo yenu ya kipekee kabisa
Nisipo elezea sifa na kukusifia wewe nimsifie nani.. alafu huu ndio ukweli.. hayupo hata mmoja.. wewe ni zaidi ya mzuri ni zaidi ya mrembo.. sio duniani hata mbinguni wanajua๐ฌ๐๐๐Una nichekesha
Tembele na dagaa mpendwa nakuja๐Bosiii ledi akapike kwanza binti wa kazi nae apumzike!View attachment 2168467
๐๐๐๐๐.. basi katibu mtendaji.. shilingi huo mzigoMkuu, unanipa cheo cha hovyo! ๐
[emoji3][emoji3][emoji3] msijali.. vitu vizuri vizuri vitakuwepo vya kumwaga
inshallah ๐Tunasubiri,Mungu akipenda...
Heshima yako Mheshimiwa Mwenyekiti๐๐๐๐๐.. basi katibu mtendaji.. shilingi huo mzigo
๐๐Asante kipenziNisipo elezea sifa na kukusifia wewe nimsifie nani.. alafu huu ndio ukweli.. hayupo hata mmoja.. wewe ni zaidi ya mzuri ni zaidi ya mrembo.. sio duniani hata mbinguni wanajua
๐๐๐ Nakaribia ju staafu.. utachukua hicho kiti chenyeweeeHeshima yako Mheshimiwa Mwenyekiti
[emoji51][emoji23][emoji23][emoji23]Una nichekesha
Karibu mpendwa....Sema nalia wali nyama rost vitramu balaa!Tembele na dagaa mpendwa nakuja๐
Mna kitu yenu special kabisaaa.. tuta wa surprise.. ๐๐Mashangazi hatuna neno na mtu...
Asante dear hapo unalikaanga na kitunguu๐Karibu mpendwa....Sema nalia wali nyama rost vitramu balaa!
Boss ledi ni mwisho wa matatizoHakuna ambae anasogea hata 0.000000001% kwa Nuzulati.. aki post network dunia nzima ina stuck ๐๐
Kipenzi kanikataza eti kutupia picha humu kwa wivu๐ฌ๐ฌ[mention]Nuzulati [/mention] hebu tupia kidogo hapo..