Selfika na JF: Snap it. Show it

Kama huna nguvu na hauna source ya nguvu, kwenye huu ulimwengu utateseka na mbinguni utakataliwa.. Nguvu ( energy) ndio inaendesha kila kitu ikiwa duniani ama mbinguni.. Tafuta nguvu na uendelee kuwa connected na chanzo cha hizo nguvu.. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ hata kupata hela unahitaji Power.. kupata amani unahitaji nguvu kila kitu kinahitaji uwe na nguvu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£ Mahondaw nacheka Mimi 🀣🀣🀣🀣..sikuzidi wewe mamii..πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ€—πŸ€—πŸ€—πŸ€—..
 

Pole kwa yaliyokukuta ndugu yangu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£ Mahondaw nacheka Mimi 🀣🀣🀣🀣..sikuzidi wewe mamii..πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ€—πŸ€—πŸ€—πŸ€—..
Weee mie nipo kwenye zoezi la kumeintain nimekua kimodo mieπŸ’ƒ
 
Hakuna ambae anasogea hata 0.000000001% kwa Nuzulati.. aki post network dunia nzima ina stuck 😎😎
 

Asante kwa ujumbe mzuri,salama lakini mkuu?
 
Mie mwanaume.. nawashauri madogolai nyie mabinti.. inanikutaje.. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.. Sie wazee tushapigana vita vyote tumemaliza... alie baki wa kuniliza sasa hivi mmoja tu Nuzulati .. akimaliza huyo basi nakuwa nimealiza vita vyote
We si Mwanaume wa kulinzwa hustahili na uzee huu tunalizana wajukuu nao wafanyaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…