Selfika na JF: Snap it. Show it

Hakuna mwanamke mwenye uwezo wa kumfanya mwanaume kuwa mwaminifu.

Mwanaume anatakiwa kuwa na hofu ya Mungu ili kuwa mwamifu ( heshima ) kwa mke/mpenzi wake.

Hakuna mwaume ambae ni sahihi kwa mwanamke, isipokuwa kuna mwanaume sahihi kwa Mungu ( kama ni sahihi kwa Mungu, atakuwa sahihi kwako ).

Kama mwanaume hana hofu ya Mungu, sahahu kuwa na heshima kwako wewe mwanamke.. Usijdanganye kwamba utambadilisha 😎😎😎



9.8ms squared kwa sasa sehemu flani napata gahawa na wajukuu zangu..
 
Thank you.
 
Hii comment umeandika kwa uchungu mpendwa itakuwa kimekukuta kitu pole sana
 
Fortnox Bro.. leo nimepata hasira sana.. kuna sehemu niliingia nimekaa nakula zangu cigar yangu... kidogo akaja dogo mmoja.. katulia pale mnene kama mie Hi tu, kila mtu biashara yake.. kutoka dogo ana chuma hiyo dah! Nikarudi ndani kwanza kufanya hesabu zangu vizuri na kujiuliza nafanya mie kijana wa hovyo hovyo hapa duniani.. why nipo nyuma ya mdaa.. tena namba DY....

Shimba Ya Buyenze

chombo ilikuwa kama hii.. kitu peruuu
 
Maninnna zako Yna uwiiiiiπŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹ una bongesa la mchepu mamaneeee wewe iiiiiiiiiiiiiiiiiiiihhh!!!πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹

mie hapo tumboni tu hoooiiii.... chini shepuuuu katikati pembamba walaiiiii unahamasisha sio kitoto wee mwanamke πŸ™ŒπŸ˜‹
 
Nimekumisi moyoni na si kwenye wengi 😬😍

😍😍😍πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ€—πŸ€—πŸ€—πŸ’ž. nimetoka kibaruani nimechoka hili neno lime hamsha ali ya mpya kutafuta my inspiration
 
😍😍😍πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ€—πŸ€—πŸ€—πŸ’ž. nimetoka kibaruani nimechoka hili neno lime hamsha ali ya mpya kutafuta my inspiration
Nakumisi kila dakika ninapo pata pumzi usihofu kwa hilo wasalimie wajukuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…