Selfika na JF: Snap it. Show it

Hivyo vitakuwa vikubwa aisee pole
Nikahisi tudogo hivi tulivyovizoea .

nimezoea usoni sipaki kitu toka nipo class six nikidai mafuta yanaleta chunusi .
Ngoja waje wengine wakushauri .
Inakuwa jipu kabisa wanaita jipu uchungu.
Kikiota basi unakuta huo upande wote unauma.

Mimi mwenyewe nilikuwaga napaka mafuta ya mgando tu..sometimes sipaki chochote na nilikuwa fresh sana ila baada ya kubadili mazingira ndo kasheshe ilipoanzia.
 
nmecheka, diet muhimu
 
Jipu uchungu vinauma eeh
Aisee inawezekana ni mazingira yamechangia pia
Tumia hayo mafuta ya Avon, yanaweza kukupenda ukarudi kama zamani .
Wishing you all the best
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…