Selfika na JF: Snap it. Show it

Yeah lakini hata hivyo mimi sikucomment sana maana kule juu kuna mtu ameniambia eti ana mashaka na jinsia yangu kwa sababu naomba sana picha za wanawake kuliko za wanaume
binadamu hawana jema tukiomba za wanaume tu tunaambiwa tuna wivu na wanawake wenzetu tukiomba za wanawake tu tunatiliwa mashaka kwenye jinsia zetu
daah nimecheka leo mimi jamani
Sikuona aiseee...ila naona hazijapokelewa kwa amsha amsha kiihvyo, labda kwakua mdada hajichanganyi sana labda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…