Selfika na JF: Snap it. Show it

sema mie uendeshaji wangu.. Fortnox wa hovyo.. maana watoto wangu wote wakubwa wanajimudu.. inabidi Joy akufarahi sana baba yake kwanza.. [emoji16][emoji16][emoji16]mie watoto wangu hawana time na mie
Hahaha kweli aisee Mimi wangu bado mdgo bado ananitegemea kwa 100% Kama heslb wake kauli mbiu yangu speed mwisho 140
 
Anha okay ila bado shape ipo pale .
Mimi napungua siku hizi hata suruali sipendi kuvaa tena maana zimekuwa bwanga tena .
Hakuna kapicha uvopungua nione!!??

mie pia sikuhizi nimepungua sana!! Nafanya mazoezi na diet walau naona vinanisaidia
 
Hahaha kweli aisee Mimi wangu bado mdgo bado ananitegemea kwa 100% Kama heslb wake kauli mbiu yangu speed mwisho 140
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ mie karibuni nianze kupata wajukuuu.. 140 nahisi kama siendeshi gari kama inatambaaa.. naanzaga kuona gari inakimbia ikifikia 210kmh.. uzuri gari zetu hizi kadri unavyo sukuma kisahani inazidi kutulia malaa paap 260 kmh.. ndio maana Tyre zangu huwa zinaishia kuchanika
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] unatumia Dunlop au bf goodrich
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…