π€ͺsi utakuwa na mie ππ
hapa kuna tembo na ma mnyani na mie [emoji3][emoji3] njoo bwana tuwinde pamoja
So hutaki kuja sasa.. sema lini nikuijie tushinde shamba.. tule mihogo.. uta enjoy kuogelea maji ya maporomoko.. na chumba chako nimewaambi wakuandalieMkuu una shamba nzuri unaliacha liote majani hivyo niazime mimi nije kulima mihogo βΉοΈ
kwaiyo unakuja au Fortnox akupitie.. weekend moja..
Serious mkuu una kalia utajiri ujue yaani hapo kulitakiwa kuwe na zao la biashara sijaona hata michungwa na papai dahSo hutaki kuja sasa.. sema lini nikuijie tushinde shamba.. tule mihogo.. uta enjoy kuogelea maji ya maporomoko.. na chumba chako nimewaambi wakuandalie View attachment 2166221
πππ hapana sie tupo wema na wapendwaaa sana uta enjoy sanaYeye sio baharia mwenzio?[emoji2][emoji2]
So hutaki kuja sasa.. sema lini nikuijie tushinde shamba.. tule mihogo.. uta enjoy kuogelea maji ya maporomoko.. na chumba chako nimewaambi wakuandalie View attachment 2166221
uje uoneSerious mkuu una kalia utajiri ujue yaani hapo kulitakiwa kuwe na zao la biashara sijaona hata michungwa na papai dah
karibu pazuri sanaππChumba kizuri
Hayo mahindi hayajapata palizi nije kukulimia mkuu hapo kulitakiwa mazao tu yaonekane π
Hayo mahindi hayajapata palizi nije kukulimia mkuu hapo kulitakiwa mazao tu yaonekane [emoji7]
Njoo uje sasa.. si unajua ubavu wa pili muhimu.. hapa upo ubavu mmoja tukiunganisha miili inakuwa double manifestation ππHayo mahindi hayajapata palizi nije kukulimia mkuu hapo kulitakiwa mazao tu yaonekane π
na hamtaki nitembeleee nyie bwanaa.. tuje tushinde hata siku nzima.. badae tukaogeleee ππIla hata palivyo naona panavutia tu hiyo kijani yake..
au hutaki uwe na mie.. unakaa ukae na tembo tu πππ€ͺ
Yaa kunavutia sanaaaIla hata palivyo naona panavutia tu hiyo kijani yake..
Kwa nini nisitake mimi nataka nije kulima hapo π¬au hutaki uwe na mie.. unakaa ukae na tembo tu ππ
Hapo nikija ni mchaka mchaka hayo mambo ya ubavu na moyo yanawekwa pembeni kwanzaNjoo uje sasa.. si unajua ubavu wa pili muhimu.. hapa upo ubavu mmoja tukiunganisha miili inakuwa double manifestation ππ
π€π€π€π€π€ good lini wajaKwa nini nisitake mimi nataka nije kulima hapo π¬
ndio maana nakupenda, una ma akili mingiHapo nikija ni mchaka mchaka hayo mambo ya ubavu na moyo yanawekwa pembeni kwanza
Tuma nauli ya kujia na kurejeaa π¬(Analinzwa mtu)πππ€π€π€π€π€ good lini waja