Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,771
jamani jamani jamani.. mie sio bahari nawatoa mashaka tu muwe na amani huku mtakuwa salama.. ππππ.. unajua kutumia gobole? njoo nikufundishe basiNina mashaka na uandishi wako unasomeka kinyumenyume[emoji2][emoji2]
Sema nami mjeda ukinizingua huko utajutaa π¬Jamani mie mtu wa ustawi wa jamii msiwe na hofu na mie huku ni amani teleee
ebu malizia ππππKwa kweli best ukifika tu ni ......πππ
Kwa kweli best ukifika tu ni ......[emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe mjeda sasa una hofu ya nini, njoo tuwinde swala bwanaSema nami mjeda ukinizingua huko utajutaa π¬
mimi sina wasi wasi kabisa [emoji23][emoji23].[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mje hata wote.. mie sio baharia.. mje niwafundishe na kuwindaaa mta enjoy sana.. wala hakutokuwa na threesome wala masihara
jamani jamani mie sio bahari.. mie mtu mwema.. alafu kimasiahara imepitwa na wakatisubiria mrejesho kwenye ule uzi wa mabaharia[emoji2][emoji2]
mje wengi wengi.. tuchome nyama tuwinde safii yanimimi sina wasi wasi kabisa [emoji23][emoji23].
Andaa plan hiyo , nije kutazama milima huko .
Nenda kwanza ukirudi zamu yangu usisahau kuni hadithia ukirejeaπHaha [emoji28] ..
Sehemu nzuri sana inavutia mno .
jamani jamani jamani.. mie sio bahari nawatoa mashaka tu muwe na amani huku mtakuwa salama.. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].. unajua kutumia gobole? njoo nikufundishe basi
π¬πππebu malizia ππππ
[emoji28]Nenda kwanza ukirudi zamu yangu usisahau kuni hadithia ukirejea[emoji28]
Sawa Unclemje wengi wengi.. tuchome nyama tuwinde safii yani
mimi sina wasi wasi kabisa [emoji23][emoji23].
Andaa plan hiyo , nije kutazama milima huko .
πππ kuweindi wanyama wadogo wadogo then tunachoma nyamaa vibe sanaa msiogopeHilo gobole ndio unawindia watu huko eeh?[emoji2][emoji2]
Teh teh huyo mpendwa hana hizo usiogope hawezi kufungua uzi anajielewa mno usiogopesubiria mrejesho kwenye ule uzi wa mabaharia[emoji2][emoji2]
jamani jamani mie sio bahari.. mie mtu mwema.. alafu kimasiahara imepitwa na wakati
acheni kumtisha uncle. ππUnajitoa muhanga kweli kabisa[emoji2][emoji2] au unaweza judo?
kha.. basi uje uone hata shamba basi lipo barabarani kabisaaUnavyozidi kujitetea ndio unaharibu bora ukaushe tu[emoji2][emoji2]