Selfika na JF: Snap it. Show it

Mapenzi ya kweli huja automatically


ERoni mwanamke anayekupenda hawezi kukulima block
 
Haha nafikiri wewe umeongelea mapenzi yale yenye malengo mimi nasemea wale wenzangu na mimi wanaotaka kukulana kimasihara ndiyo huwa najiuliza sasa kila mwanaume ambaye ni rafiki yako ukisema umpe utawapa wangapi? Jamii yenyewe hii ambayo mwanamke akidate na wanaume wawili watatu tu tayari anaitwa malaya unategemea nini hapo?
 
Unampa tu huyo ambae unaona moyo ni mwepesi kwake we mpe tu kwani sh ngapi?

Halafu haendi nayo popote anakuachia ingekua ukimpa hairudishi hpo kweli ungesema utawapa wangapi

halafu kwan privacy siku hizi ni hakuna? who knows umewapa 20 30 au arobaini? we wape tuu kimasihara

kukutana mnakutania location nnje ya dunia,yani dhambi mnaenda fanyia sehemu hata Mungu hawaoni

unaongelea wananchi wa dunia na maneno yao? mimi waongee tu kwanza wataongea nn labda waongelee chogo langu...
 
Hebu kwanza tulione hilo chogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…