thanks God, nimefika salama jijini mbeya.
picha yangu ya leo nikiwa safarini kuja mbeya.
kama wewe ni mzoefu wa safari za back to back za dar-morogoro-iringa-mbeya nitajie sehemu ambayo nimepiga picha hii.
ukipatia nitakupa zawadi.
View attachment 1247495