Selfika na JF: Snap it. Show it

Unajiwahi mapema unajiwekea shield
hatukutongozi mkuu
 
Ngoja mimi nisiongee leo
Haha ongea tu mama mchungaji mimi hili jambo muda mrefu sana huwa natamani nilianzishie uzi sema nakosa maneno mazuri ya kuweka ili nieleweke

Seriously mimi napenda sana kuwa na marafiki wa kiume zaidi kuliko wa kike yaani kwa lugha rahisi napenda zaidi kuwa na washikaji kuliko mashost

Ila tatizo moja tu hawa kaka zetu wanapofeli wanadhani kwamba kila mwanamke anapenda hayo mambo ya friends with benefit ama kukulana kimasihara kama wenyewe wanavyoita kumbe wengine wala hatuentertain hayo mambo
 
Umetuahidi ya kwamba wawili watatu, kwa jina lako wakija,
Utawabariki, kwa hivi leo twapiga magoti nyumbani pako.

Yesu uje kwetu utubariki;
Yesu uje kwetu uwe karibu.
Umekuwa Nasi Siku Nyingine
Tunakuhitaji Mpaka Mwisho.
Uje Mkombozi; Tupe Neema
Tusikie Yesu Utubariki.

Yesu uje kwetu utubariki
Yesu uje kwetu uwe karibu
 
Natokea Ubungo
Ukivuka Kibamba kwa Mangi unashuka darajani upande wa kulia ilipokuwepo Wilaya ya Ubungo utaona mabanda, ila kama una usafiri binafsi unavuka daraja la juu la Mloganzila unakuja upande wapili wa kulia ukifika service road teremsha kama unaenda Wilaya ya zamani kabla haijahamishiwa Luguruni utaona mabanda kibao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…