Selfika na JF: Snap it. Show it

Mbona unacheka na wew Ni mtaalamu eeeh
[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji28][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji28][emoji28][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]!!!!
 
Natumia pangaboy 24 hrs feni inazunguka
Ila hewa ya nje pia ina umuhimu..
Feni pekeyake inaniletea kifua[emoji19]

Muda wote najiloweka bafuni..nikija najitupa kitandani napulizwa na feni hadi najisikia vizuri.
Kuna mikoa tumevamia tu..haitufai
Nilikua dar last week nilijutaaa!joto kama mmebanikwaa!afu feni sipendi miyee!
 
Hahahaaa hakika shughuli imempata mwenyew
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…