Hi bro. Ingependeza sana kama ungekaziba sura japo kidogo kamalaika kako haka. Najua hakana usemi lakini siamini kama kangependa kawe mitandaoni humu (hasa site ya aina hii) waziwazi namna hii kwa sababu you just never know. Na kenyewe kana haki zake ati!
Samahani lakini kama nimekosea bro