Selfika na JF: Snap it. Show it

Jamaniii nikionaga watoto huwa nachanganikiwa kabisa Mungu nipe na Mimi kamoja beautiful baby
Kumbe tupo wengi aisee , Baby fever ni nouma
Mimi toka nakua napenda watoto , sasa siku hizi naona ndo nimezidi kuwapenda ..nikienda baby shop kununua kitu labda ,nakuwa exicted lol
.

Mungu awabariki wamama wote wenye uhitaji huu
 
Kumbe tupo wengi aisee , Baby fever ni nouma
Mimi toka nakuwa napenda watoto , sasa siku hizi naona ndo nimezidi kuwapenda ..nikienda baby shop kununua kitu labda ,nakuwa exicted lol
.

Mungu awabariki wamama wote wenye uhitaji huu
Mtapata tu nilikua kama ninyi now I have two little girls std 7 and Std Four!!!
 
aione nuzulati!ahsante studioo!!
Nuzulati kuna haja nije PM nkupe tuition tena?!!
 
Kumbe tupo wengi aisee , Baby fever ni nouma
Mimi toka nakuwa napenda watoto , sasa siku hizi naona ndo nimezidi kuwapenda ..nikienda baby shop kununua kitu labda ,nakuwa exicted lol
.

Mungu awabariki wamama wote wenye uhitaji huu
Yaani kumbe tuko wengi hasa kiwe kichanga ngozi yake ilivyo laini kukishika shika vikono 😍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…