[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ukipenda unaweza toa qhadi za kipumbavu ambazo hata ww siku ukikaa ukatulia lazima ujicheke..
View attachment 1248120
Endelea kufikiri Mimi mdogo [emoji23]
Hahahahahaha
Mmmhhh huko siko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wajuvi waje waelezee
Sie wengi wakiwa kwenye Computer Lab ndio walikua wanastream online games. Lec anarusha slides kumbe wazee wanakomaa na GTA qu Euro track
Haipo
Haipo
Mbona Kivuli
Let it be so[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]sawa BIGI
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]oops
Inategemea na kanisa.
Huku nilipo kuna dogo ni Mtumishi 'wale wasaidizi wa padre ana rasta zake safi afu ni wa kiume na kanisani mbona anaingia
Let it be so[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapana mjanja pale..
Hapa ndipo mnaponiacha hoi WaTZ.
Hivi unafiki mtaacha lini?
Mtu kama huyu yupo rough rough mchafu mchafu kwa nini asiambiwe ukweli ili abadilike?
Usikute hapo boxer ina zaidi ya siku mbili haijabadilishwa.
Mzeee lazma tutie timu hapo. Dah pilau au nini hiyo
Wakaka wa JF ongezeni picha za viatu! Wallah mnajua kuvaa viatuu
No, Never..