Selfika na JF: Snap it. Show it

Shombe shombe hiyo kutoka Tanga yalikozaliwa mapenzi. Waja leo waondoka leo? Mweh! Msukuma ukikwama huko ndo imetoka hiyo. Ashukuriwe Allah!
Hahahaha!!!point 5 huyoo na mnavopenda weupe kuna mmoja kapita Jana napoishi kuulizia vyumba ktk story sasa Dada huo weupe Mme?!mweeh nkamuuliza unajawaju weupe wewee!Sijui mliona nini mangosha kwenye rangi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…