Selfika na JF: Snap it. Show it

Dah huyo mwizi noma
Anatoa funguo kwenye holder??
Alikuwa anakujua huyo😂

Hata aliyeiba leo nahisi anatujua.


Mwee ifike muda hizi kucha ikatike hata moja ili nizikate.
Wanasemaga mwizi aibi asipo pajua au ambapo hajasoma rada ipasavyo.

Mie zangu zimekuwa laini sijui na haya majeli?? Zinakatika hovyo, sahivi zipo za kiuanafunzi
Hata nguvu ya kuziphotoa sina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…