Duuuh poleeeeh sana cc, ila wezi jaman, nakumbka niliibiwa cm na pesa tena kwa kutoa mwenyew, fahamu zilirudi baadae,. DAR n hatar sana. [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Angechukua vyote aniachie tu vitambulisho vyangu.
Lilivyo lijinga limebeba ..havina faida yoyote kwake.
Sikufikii wewe shos! wewe Mtoto mtekeee kama Maria Obama vile 😘😘!Rangi ya mtumeeeee [emoji4][emoji4][emoji8][emoji8]
Flatt tummy, woooooow.
Huwa tunaweka nyavu kwa sababu ya joto.Kwanini hamkuLock dirisha?
Alikuwa anastruggle sasa kuchukua simu.Duuuh poleeeeh sana cc, ila wezi jaman, nakumbka niliibiwa cm na pesa tena kwa kutoa mwenyew, fahamu zilirudi baadae,. DAR n hatar sana. [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Nifanyeje sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tobaaaaaah wee, sasa unafanyaje kwahiyoo?
Duuuh poleeeeh sanaaa.
Aisee
Asanteeeee...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umeanza sasa mambo yako wee. UwiiiiihSikufikii wewe shos! wewe Mtoto mtekeee kama Maria Obama vile [emoji8][emoji8]!
Leo humu ndani kumetaradadi yaan,
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji12][emoji12]Mfungo wangu umeshaharibika, wacha niagize ugali mbuzi choma na mtindi nishushie.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee mbna angekupofoa macho, usingekua makini ila wezi jaman lol.Alikuwa anastruggle sasa kuchukua simu.
Ile nageuka naona mavidole ya mtu usoni[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Duuuh hapo kwa I'Ds ndo nimechoka kabisaa yaan mweeeeh.Nifanyeje sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Natafuta loss report
Umeanza Anne!Ewaraaaaaa[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Picha za boss lediiii zinaondoa stress zote
Najiona mwepesiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kiuno nyigu.
Aisee hiyo namba 8[emoji91]
Kiatu size 42 hicho dearAisee
Tumiguu tudogo[emoji173]
Ooh thank you dearDoh una vidole vizuri dia![emoji3577]
Unapenda shape wewe [emoji1787]Asanteeeee...
Japo shape umeficha kabisa[emoji3][emoji3]
Vidole vya miguu yako vinanikumbusha x wa ujanani.