π€£π€£π€£π€£π€£ sipati picha kisanga kilichomkuta na hivi humu ndani wote mboga 7. teh tehπ€£π€£π€£π€£
Umenikumbusha kuna mtu alianzisha mada anasusu kwenye kopo usiku anaogopa kutoka nje yaan walimpopoa had hurumaπ
CCUbahili upareni is overrated π
Wabahili eti nasikia ni wanyaki na wasukuma ππ€£π
πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
Kwani nadanganya? π€£π€£Wee shindwa
We nitaftie tu msala
Vaa tu dk 2 basi ππHadi siku nikilivaa tena sasa; nilitaka nilivaepo nikawaza huo weupe + kulinyoosha
Hizo sifa ni huko upareniπ€£π€£Kwani nadanganya? π€£π€£
Nasikia siku hizi zimehamia Mbeya.. zama za Abiud za moto πββοΈHizo sifa ni huko upareniπ€£π€£
Nitakuacha wakusosomole baadaye ndiyo najitokeza kukutetea ππWe nitaftie tu msala
Utakuta nishajaza sado 2 za machoziNitakuacha wakusosomole baadaye ndiyo najitokeza kukutetea ππ
Hata uninunulie parachichi, Leo hapana. Ila soon nitalivaa. Au kesho nilishikilie mwiliniπ€£π€£Vaa tu dk 2 basi ππ
Hela sio shida zetuπ€£π€£Nasikia siku hizi zimehamia Mbeya.. zama za Abiud za moto πββοΈ
Kwamba umeshiba sana πHata uninunulie parachichi, Leo hapana. Ila soon nitalivaa. Au kesho nilishikilie mwiliniπ€£π€£
Achana nao watetezi...ukifa njaa hawatokutetea ujue.ππUkisikia kufanyishwa kazi bila Ujira ndiyo hapa.
Jamani watetezi wa haki za kiraia, Kuna mtu hapa anataka kunifanyisha kazi bila malipo, please msaada wetu tafadhali ππ€ͺ
Hahahahaha.......tena huyo Saint Anne nina wasiwasi ndiyo atakuwa anaongoza mashambulizi πUtakuta nishajaza sado 2 za machozi
Nilijua tu kuwa boss ledi atashusha bonge la picha[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Usiku mwema wana selfika![emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42] View attachment 2159733
Duh[emoji16]Hahahahaha.......tena huyo Saint Anne nina wasiwasi ndiyo atakuwa anaongoza mashambulizi [emoji23]
Mbona unaniacha dilemma, anyways bora niseme tu kama kula nitakwenda Kwa Mwenyekiti wa Asasi za Kiraia πAchana nao watetezi...ukifa njaa hawatokutetea ujue.ππ
Shauri yako....π Mi ndo naanza kujitoa mdogo mdogo hivyo....πΆπ½ββοΈπΆπ½ββοΈπMbona unaniacha dilemma, anyways bora niseme tu kama kula nitakwenda Kwa Mwenyekiti wa Asasi za Kiraia π
SVR unyama sanaaaa... bado nazi double kwa blockerMbona umeziba $$$$!!! Hakuna atakaekuteka labda dada yako.
Leo nimekutana na LC 300 black new beast jamaa analifumua mjini Ira nkadhani ni wewe.