ni kweli ni katikati ya morogoro na iringa, ila hujataja jina la sehemu husika.
kilomita moja au mbili kutoka hapo ni sehemu moja maarufu sana(nimekupa tip).
Huu uzi hujauanzia mwanzo mpendwa page ya kwanza nimetupia picha yangu na sijafuta ile picha.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa mkuu si bora hata mimi nilituma nikafuta wewe nina uhakika hujatuma picha yako hata moja
hahahaha, sikujua kama hili suala la kuhaidi zawadi ni serious kiasi hiki.Tatizo lako mkuu hata tukitaja hizo zawadi hautoi, ile 20 ndiyo ukaamua kunikazia like nobody's business.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa mkuu si bora hata mimi nilituma nikafuta wewe nina uhakika hujatuma picha yako hata moja
utafika tu ndg. pako poa sana.Mbeya ndio mkoa sijawahi fika na ninatamani kufika.. sijui nitafikaje huko. So Occupied
Nilimdai akakaza akasema eti nimekosa wakati mwanzo alisema nimepata daah
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji3581]Kitonga!
Penya dirishaniIlivyofungwa hvo napita wapi.. labda ww
Acha hvo sasa...Penya dirishani
Huu uzi hujauanzia mwanzo mpendwa page ya kwanza nimetupia picha yangu na sijafuta ile picha.
hahahaha, sikujua kama hili suala la kuhaidi zawadi ni serious kiasi hiki.
ile 20 nilishindwa kutuma kwasababu hukutoa jibu sahihi. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Nliisave haha.
Halafu anapita kama hakuoni vile.[emoji23]
basi kwa kuwa ahadi ni deni, itabidi nikupe tu ile 20. kesho inshallah.Sasa mbona mwanzo nilivyopataja ulikubali kwamba ndiyo penyewe ila baada ya mimi kukumbushia ahadi yako ndiyo ukanikana ghafla??
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji3581]
basi kwa kuwa ahadi ni deni, itabidi nikupe tu ile 20. kesho inshallah.
Ulisave ipi hiyo mkuu??
Haya tuma zawadi
Amna hii IST
Heheheeeeeee haya bwana Ngoja nijiite MaseratiHiiiiiiiiiiiiiii, nimesadiki niliyoyaona!