Jack Palladino JF-Expert Member Joined Feb 24, 2018 Posts 7,245 Reaction score 22,552 Mar 19, 2022 #163,401 Tinsley said: Hahaha natoka ila kuna mida yake .. Sijazoea kutoka usiku ila kama nimeenda sehemu nikachelewa kurudi hiyo ni sawa ambapo mwisho saa nne hivi . Click to expand... Geti kali eeh
Tinsley said: Hahaha natoka ila kuna mida yake .. Sijazoea kutoka usiku ila kama nimeenda sehemu nikachelewa kurudi hiyo ni sawa ambapo mwisho saa nne hivi . Click to expand... Geti kali eeh
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Mar 19, 2022 #163,402 Jack Palladino said: Geti kali eeh Click to expand... Haha geti kali hawatoki kabisa mimi nazurura mno , nipo free sema ndo hivyo upele humuota asiye na kucha .
Jack Palladino said: Geti kali eeh Click to expand... Haha geti kali hawatoki kabisa mimi nazurura mno , nipo free sema ndo hivyo upele humuota asiye na kucha .
Jack Palladino JF-Expert Member Joined Feb 24, 2018 Posts 7,245 Reaction score 22,552 Mar 19, 2022 #163,403 Tinsley said: Haha geti kali hawatoki kabisa mimi nazurura mno , nipo free sema ndo hivyo upele humuota asiye na kucha . Click to expand... Maeneo gani unapenda kutembelea?
Tinsley said: Haha geti kali hawatoki kabisa mimi nazurura mno , nipo free sema ndo hivyo upele humuota asiye na kucha . Click to expand... Maeneo gani unapenda kutembelea?
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Mar 19, 2022 #163,404 Jack Palladino said: Maeneo gani unapenda kutembelea? Click to expand... Sehemu tulivu hii kama beach , cafe etc
Jack Palladino said: Maeneo gani unapenda kutembelea? Click to expand... Sehemu tulivu hii kama beach , cafe etc
Jack Palladino JF-Expert Member Joined Feb 24, 2018 Posts 7,245 Reaction score 22,552 Mar 19, 2022 #163,405 Tinsley said: Sehemu tulivu hii kama beach , cafe etc Click to expand... Beach, unajua kuogelea?
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Mar 19, 2022 #163,406 Jack Palladino said: Beach, unajua kuogelea? Click to expand... Niseme sijui tu maana naogopa waves hatari Beach pana raha yake hata kama hujui kuogelea kama vile kutembea ufukweni .
Jack Palladino said: Beach, unajua kuogelea? Click to expand... Niseme sijui tu maana naogopa waves hatari Beach pana raha yake hata kama hujui kuogelea kama vile kutembea ufukweni .
Jack Palladino JF-Expert Member Joined Feb 24, 2018 Posts 7,245 Reaction score 22,552 Mar 19, 2022 #163,407 Tinsley said: Niseme sijui tu maana naogopa waves hatari Beach pana raha yake hata kama hujui kuogelea kama vile kutembea ufukweni . Click to expand... Niruhusu niwe mwalimu wako hadi ujue kuogelea
Tinsley said: Niseme sijui tu maana naogopa waves hatari Beach pana raha yake hata kama hujui kuogelea kama vile kutembea ufukweni . Click to expand... Niruhusu niwe mwalimu wako hadi ujue kuogelea
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Mar 19, 2022 #163,408 Jack Palladino said: Niruhusu niwe mwalimu wako hadi ujue kuogelea Click to expand... Unaonekana upo vyema , nimekumbuka picha unazoweka hapa .
Jack Palladino said: Niruhusu niwe mwalimu wako hadi ujue kuogelea Click to expand... Unaonekana upo vyema , nimekumbuka picha unazoweka hapa .
Nyani Mzee Snr JF-Expert Member Joined Feb 4, 2021 Posts 12,122 Reaction score 42,761 Mar 19, 2022 #163,409
Jack Palladino JF-Expert Member Joined Feb 24, 2018 Posts 7,245 Reaction score 22,552 Mar 19, 2022 #163,410 Tinsley said: Unaonekana upo vyema , nimekumbuka picha unazoweka hapa . Click to expand... Najitahidi kwakweli, nitakupa mbinu zote za kuogelea uwe mtalaam
Tinsley said: Unaonekana upo vyema , nimekumbuka picha unazoweka hapa . Click to expand... Najitahidi kwakweli, nitakupa mbinu zote za kuogelea uwe mtalaam
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Mar 19, 2022 #163,411 Jack Palladino said: Najitahidi kwakweli, nitakupa mbinu zote za kuogelea uwe mtalaam Click to expand... Ooh thanks Mweh nisije nikakutia aibu mie .. Nikaanza vikelele vyangu hapo kwenye swimming pool,
Jack Palladino said: Najitahidi kwakweli, nitakupa mbinu zote za kuogelea uwe mtalaam Click to expand... Ooh thanks Mweh nisije nikakutia aibu mie .. Nikaanza vikelele vyangu hapo kwenye swimming pool,
Wigelekelo JF-Expert Member Joined Sep 2, 2018 Posts 8,765 Reaction score 26,901 Mar 19, 2022 #163,412 Tinsley said: Ooh thanks Mweh nisije nikakutia aibu mie .. Nikaanza vikelele vyangu hapo kwenye swimming pool, Click to expand... Vile vikelele Vile Usiniambie
Tinsley said: Ooh thanks Mweh nisije nikakutia aibu mie .. Nikaanza vikelele vyangu hapo kwenye swimming pool, Click to expand... Vile vikelele Vile Usiniambie
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Mar 19, 2022 #163,413 Wigelekelo said: Vile vikelele Vile Usiniambie Click to expand... Hahah nilijua hapa utatia neno Maji yana nguvu , vikelele muhimu .
Wigelekelo said: Vile vikelele Vile Usiniambie Click to expand... Hahah nilijua hapa utatia neno Maji yana nguvu , vikelele muhimu .
T 1990 ELY JF-Expert Member Joined Sep 7, 2014 Posts 12,937 Reaction score 30,099 Mar 19, 2022 #163,414 Tinsley said: Ooh thanks Mweh nisije nikakutia aibu mie .. Nikaanza vikelele vyangu hapo kwenye swimming pool, Click to expand... Tinsley mambo
Tinsley said: Ooh thanks Mweh nisije nikakutia aibu mie .. Nikaanza vikelele vyangu hapo kwenye swimming pool, Click to expand... Tinsley mambo
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Mar 19, 2022 #163,415 T 1990 ELY said: Tinsley mambo Click to expand... Poa Vipi mzima Ely ?
T 1990 ELY JF-Expert Member Joined Sep 7, 2014 Posts 12,937 Reaction score 30,099 Mar 19, 2022 #163,416 9.8ms squared said: View attachment 2157045 Click to expand... Mambovipimkuu
T 1990 ELY JF-Expert Member Joined Sep 7, 2014 Posts 12,937 Reaction score 30,099 Mar 19, 2022 #163,417 Tinsley said: Poa Vipi mzima Ely ? Click to expand... Vizuri sana kama ni poa Mimi ni mzima kabisa namshukuru MUNGU mpendwa
Tinsley said: Poa Vipi mzima Ely ? Click to expand... Vizuri sana kama ni poa Mimi ni mzima kabisa namshukuru MUNGU mpendwa
Jack Palladino JF-Expert Member Joined Feb 24, 2018 Posts 7,245 Reaction score 22,552 Mar 19, 2022 #163,418 Tinsley said: Ooh thanks Mweh nisije nikakutia aibu mie .. Nikaanza vikelele vyangu hapo kwenye swimming pool, Click to expand... Ukiwa unajifunza ni kawaida kupiga kelele
Tinsley said: Ooh thanks Mweh nisije nikakutia aibu mie .. Nikaanza vikelele vyangu hapo kwenye swimming pool, Click to expand... Ukiwa unajifunza ni kawaida kupiga kelele
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Mar 19, 2022 #163,419 T 1990 ELY said: Vizuri sana kama ni poa Mimi ni mzima kabisa namshukuru MUNGU mpendwa Click to expand... Ooh vyema .. Sabato ilikuwaje pande hizo .
T 1990 ELY said: Vizuri sana kama ni poa Mimi ni mzima kabisa namshukuru MUNGU mpendwa Click to expand... Ooh vyema .. Sabato ilikuwaje pande hizo .
Nyani Mzee Snr JF-Expert Member Joined Feb 4, 2021 Posts 12,122 Reaction score 42,761 Mar 19, 2022 #163,420 T 1990 ELY said: Mambovipimkuu Click to expand... Kwema boss T 1990 ELY .. habari za hapo mkuu