Huu mwandiko unaonesha rodi trip ni tamu sana.πππ road trip tamu sana.. hasa afisa kama wewe mwendo mdogo mdogo.. tukikuta mahala wanachoma mbuzi tunapaki. kula mbuzi vi bia viwili vinne hizi.. tunaendelea na safari
Ila nyama inaruhusiwa na ka mvinyoo kale ka sweet.. hutu tunakula mziki wetu wa country... mdogo mdogo madirisha wazi tunakula fresh air tu yaani ππππHuu mwandiko unaonesha rodi trip ni tamu sana.
Usinifanye nitamani likizo basiππ
Hivi unafikiri na hii Kwaresma kweli kuna pombe itanywewa kweli!
Maji na juice vitanihusu safari yote
Sabato imetamatikaNamalizia Sabato boss, then fanya mambo
[emoji1787][emoji1787]Mnachomtafuta Mtumishi wa Mungu
After church[emoji4]View attachment 2156926
Location?Weekend is hereβ¦
View attachment 2156976
Location?
Noted mkuu!Twenty Five Makondeβ¦
Safi, mzima wewe?Poa , habari ya muda ?
Nipo poa vipi wewe ?Safi, mzima wewe?
Poa kabisa, w.end unakula wapi?Nipo poa vipi wewe ?
Nipo nyumbani tu rafiki .Poa kabisa, w.end unakula wapi?
Uwa unaruhusiwa kutoka kweli?Nipo nyumbani tu rafiki .
Hahaha natoka ila kuna mida yake ..Uwa unaruhusiwa kutoka kweli?