Kwa kweli Mimi nagonga zote tu; surprisingly nikishakuta tu njano nachanganyikiwa. Nataka niswitch kidogo kwenye burnt red/orange; ingawa najua nitarudi tu kwa yellow π€£π€£π€£
Kwa kweli Mimi nagonga zote tu; surprisingly nikishakuta tu njano nachanganyikiwa. Nataka niswitch kidogo kwenye burnt red/orange; ingawa najua nitarudi tu kwa yellow
Wakubwa mnafaidi siti ya pembeni unashika shika upaja tu uku unachukua na vipop corn mziki mzuri ndani gari inanukia uturi toka manza bay mungu akupe nini..enzi za ujana wangu nilisumbua sana