Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuna gharama yake kuomba omba picha.
Nishasakiziwa Hadi misala nisiyoijua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
Bora yako wee usiyoijua ila ya aman, sie wengine sasa mbna JF itasimama kwa muda woiiiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bora yako wee usiyoijua ila ya aman, sie wengine sasa mbna JF itasimama kwa muda woiiiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unashangaa tu umenuniwa na mtu.
Kumbe kuna mtu amekusakizia msala wa picha huko hata habari Huna😂🙌

Na mimi kuomba picha siachi jamani hadi Masihi arudi.
 
Back
Top Bottom