Selfika na JF: Snap it. Show it

FOA beib 😻

Huo wimbo mzuri sana, ila tone la Mond me sijaliewa haki. Bora hata chorus kaimba vizuri…

Fine fine fine πŸ€ΈπŸ»β€β™€οΈ
wanatumia sana Auto tune kama T-Pain ambazo zilipitwa na wakati.. but ka wimbo ni motoo..

Have seen some beautiful girls, but nobody, nobody, nobody
Baby, nobody, nobody, nobody fine like you, nobody fine like you
Have seen some beautiful girls, but nobody, nobody, nobody
Baby, nobody, nobody, nobody fine like you, nobody fine like you

#FOA ambazo nimezielewa ni
Wonder..
Fine...
Mtasubiri..
Fresh... 😎😎😎


Your browser is not able to play this audio.

Your browser is not able to play this audio.

Your browser is not able to play this audio.
 
Mtu yeyote kusema amebatizwa
Yampasa kuchunguza sana maana
Neno batizo ni neno la lugha ya kiyunani
Maana yake kuzamishwa kabisa
Ndani ya maji
Ishara ya kufa na kufufuka

Biblia nayo iko wazi sana
Ikisema Yohana Mbatizaji
Alibatizwa mtoni Yordani
Maana ndiko kwenye maji mengi

Basi nendeni kote mkahubiri habari njema mmh
Habari ya wokovu tulopewa
Na kila aaminiye abatizwe
Tena azamishwe ndani ya maji


Neno linasema aaminiye
Abatizwe ndani ya maji
Vipi kwa watoto itakuwaje tukitaka kuwabatiza?

Neno liko wazi
Aaminiye
Na mtoto hawezi kuamini
Wala hawezi kuzamishwa majini


Basi nendeni kote mkahubiri habari njema
Mmh
Habari ya wokovu tulopewa
Na kila aaminiye abatizwe
Tena azamishwe ndani maji


Ambassadors of Christ Choir_Ubatizo


Happy sabbath Day to all SDA members
 
nawewe pia mkuu
 
Kumbe nyie ni waarabu wa Pemba !!? Leo mnaitana baby kesho Depal anakuja kuwasha Moto sitaki mazoea

9.8ms squared
Nilikutegemea πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€ΈπŸ»β€β™€οΈπŸ€ΈπŸ»β€β™€οΈπŸ€ΈπŸ»β€β™€οΈ

Kumbuka huyo mpemba ndiyo alianza kunizomea πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


Jiongeze mwanetu 😎
Mwenzako Extro alishatuacha baada ya kushindwa kuelewa ni kina Romeo au tunasagiana kunguni πŸ€ΈπŸ»β€β™€πŸ€£
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…