Kuna jamaa mmoja tulikuwa tunamuita "bingwa wa kupakata"...
Wakati wa winter seasons unampata yupo kitandani na kilaptop chake, winters zilikuwani holidays sasa hapo yupo busy kudownload torrents, stream soccerna kuwatch movies...
Anaweza asile hata siku ye ni snacks tu, laptop na blanket...
Kweli pombe sio chai, hadi unamuita mama yako mwanao[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Inabidi tu sasa unyate ukalale.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Heheh....Kipindi cha baridi halafu niwe likizo ndio ratiba yangu. Blanketi, snacks + movies/series basi.
Bachela sugu hiyo ni kwa nyie mliovuka mipaka, mie wa nanjilinji na sales wapi na wapi[emoji1745][emoji1745][emoji1745]Heheh....
Kwa wingine huo ndio wakati wa kupiga misele maana sehemu nyingi zinakuwa na sales...unajua tena ukishakuwa mbongo
Inabidi tu sasa unyate ukalale.
Kalale tu mdogo wangu. Good night.Kabla sijakuwish gudinaiti?
Bachela sugu hiyo ni kwa nyie mliovuka mipaka, mie wa nanjilinji na sales wapi na wapi[emoji1745][emoji1745][emoji1745]
Kalale tu mdogo wangu. Good night.
Haya bwana[emoji134]Bado nipo mpaka ngoma nane huko
PoaIla mimi nipo hapaView attachment 1246288
Bado upo?
Ndio nipooo
Aha nilisikia aise ...kumbe ilikuwa ni kueli????Si walichafuka nchi nzima, au ulikuwa haujazaliwa son?
Nmeelewa lakini[emoji41][emoji41][emoji41]Hata mie sielewi kabisaa
Nacome
Mambo ni bull bullView attachment 1246557
Ni wapi sakayo..Shunie nae ni muumini??Karibu kanisani kwetu