C numeweka Co mda hapa wee. [emoji23][emoji23][emoji23]
Nakuambiaje huko jeshini wala siendi khaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mguu una uvungu mzuri
Maliza shule tukutupe jeshini [emoji28]
Mimi ndio nilikuwa nawapigia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wanataka uwarudishie capital yao waliotumia kuongea na wewe
Anne mpambe tu!!Dada uchawa na upapasi unauweza uko vzr[emoji119][emoji119][emoji119][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2]mweehh
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Tabia mbaya hiyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sitaki mnione bhana
Weuweeeeeeeeeeeeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tanteeeeee [emoji3531][emoji3531][emoji3531][emoji8][emoji8] kama kawaida yako.. full kutokelezeaaa[emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji8]
...cocastic naomba hiyo picha dea π
Afu mwambie Wigelekelo aje hub tukapulize kakitu π€£π€£π€Έπ»ββοΈView attachment 2155813
@reymage shauri yako[emoji860][emoji860][emoji860]Mwite kwa sauti reymage mwambie nimeshaweka namsubiri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]akaaaahhh!hivi wako serious hao vichaa mweehh yaani ningecheka balaa..nilijua wataishia matusi tu hao...wanaomba vocha baada ya matusi kenge hao..wiki ilopita nilitumiwa meseji kama hyo ya mrengo hukoo!akasema yeye hawezi piga maana simu yake maiki mbovu hatutasikilizana ,nkamtumia SMS nkamuambia huyo mjomba ako mwenye pesa za biashara muambie akupe utengeneze simu kwanza then ndo afanye biashara na Mimi asoniju..maana alisema mjomba ake tajir kuna business anataka afanye inamlipa hvyo aniunganishe nae!Wamenitukana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wao wamekuja kwa gia ya biashara.
Na mimi nimeenda nao hadi mwsho..
Kama saa zima naongea nao
Huyu anasema mpigie huyu mwambie hivi?na mm nafata maelekezo hivyohivyo..anasema mpigie tena mwambie hivi
Hivyohivyo nafata
Wakajua wameniokota kweli
Sasa mwishoni nilikuwa nimemuweka conference rafiki yangu anasikiliza
Akaangua kicheko[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wakasikia
Akawaambia sasa mnataka kumuibia dada jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Weee mmoja ameporomosha matusi..mwingine anasema basi naombeni hata hela ya vocha jamani
Kumbe wamekaa wote sehemu moja[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tukamwambia mwenzio ametutukana ?tungekupa..anasema ngoja nimwambie awaombe msamaha jamani..mnipe angalau ya vocha tu[emoji1787]
Sasa wapi wee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siendagi clubs mie
Nimeliona lishepuuuNiliweka hii hapa wii
Saint Anne smile increases face value [emoji12]View attachment 2155812
cocastic hii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sikuwezi hata.Kama ni yule wa gushepu hajamfikia boss ledi wetu jamani[emoji91][emoji91][emoji91]
Boss ledi hafananishwi na chochote.
Tena boss ledi wetu ana kiuno nyigu[emoji108]
Yule anacho?????
We boss ledi ni mtu na roho wewe dgo..moto wa kuotea mbali kabisa.
Mmoja anaomba vocha..mmoja ashapanic anatukana..sisi tunacheeeeka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]akaaaahhh!hivi wako serious hao vichaa mweehh yaani ningecheka balaa..nilijua wataishia matusi tu hao...wanaomba vocha baada ya matusi kenge hao..wiki ilopita nilitumiwa meseji kama hyo ya mrengo hukoo!akasema yeye hawezi piga maana simu yake maiki mbovu hatutasikilizana ,nkamtumia SMS nkamuambia huyo mjomba ako mwenye pesa za biashara muambie akupe utengeneze simu kwanza then ndo afanye biashara na Mimi asoniju..maana alisema mjomba ake tajir kuna business anataka afanye inamlipa hvyo aniunganishe nae!
Hawa matapel sasa [emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji3]mwee
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Hoyeeeeeeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakunyumba oyeeeeeeeee
@reymage shauri yako[emoji860][emoji860][emoji860]
Ya nn?Tabia mbaya hiyo
Kupendwa raha sana thank you[emoji7][emoji7][emoji8][emoji8][emoji8][emoji7]mmeona mamacitaaFor you my one and only wizo! usitoke
Kwahiyo wewe ukitoka ni lazima uende clubs??Sasa wapi wee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πππ€£π€£π€£π€£ππππππβ₯οΈKupendwa raha sana thank you[emoji7][emoji7][emoji8][emoji8][emoji8][emoji7]mmeona mamacitaa
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app