Selfika na JF: Snap it. Show it


Ujumbe wa muhimu sana kamanda. Annual physical exam literally saved my life. Something terrible was brewing up and I was lucky that I caught it early through a routine physical exam.

Sisi (hasa wanaume) tuko wagumu sana kwenda hospitali mpaka tuumwe. Wakati mwingine inakuwa tayari tumeshachelewa. Ni vizuri sana kuwa na tabia ya kucheki afya kila mwaka. Na kwa wahenga wenzangu ambao wako at least above 40, hakikisha unajua namba za presha yako pamoja na sukari. Matatizo haya yanaweza kuzuilika kwa kubadili mfumo wa maisha tu kabla hujaingia kwenye kutumia madawa makali ya hospitalini ambayo ni ya kudumu na yenye side effects kibao. Na kila mwaka angalia ini lako, figo, moyo, pancreas, prostate, mapafu na viungo vingine vikoje.....

Aisee unaweza kugonga 76 na ukawa bado unapata ile kitu roho inapenda (sita kwa sita) na kwingineko...
. Mungu ni mwema


 

Eeh pole ,umelezea vyema sana hapa..
Nakumbuka nilipewa hiyo mixture ya mdalasini pia japo sikuitumia sana maana ilikuwa kali .

Naamini umepona kabisa mimi sasa hivi nakula kila kitu wakati nilikuwa nakula wali na mtindi tu .
Mungu ni mwema siku zote .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…