Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shouzzzzzzzz hebu nipumzishe kwan, hivi vyombo na vyuma vya humu mie nawakuta wapi? Watu mna misambwanda na shape zenu, acha kunijaza bhana wee lol.

But tanteeeeeh shouzzzzzzzz ake [emoji7][emoji7][emoji3590][emoji3590]
Narudia..wewe ni nyokko shos! You are so ameizingggggg!!! Hiko kigauni nimekielewa sana kuliko vile vipusa walai..... umeonekana mtoto mbichi kabisa kama hujaguswa hata mkono 😜😜🤭
 
usiku mwema wakuu" [emoji276][emoji276]
IMG_20220317_222246.jpg
 
Narudia..wewe ni nyokko shos! You are so ameizingggggg!!! Hiko kigauni nimekielewa sana kuliko vile vipusa walai..... umeonekana mtoto mbichi kabisa kama hujaguswa hata mkono [emoji12][emoji12][emoji2960]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wallah nakufa mie sio kwa sifa hizi, jaman jaman uwiiiiiiih, km wee umesema mie sipingi najua una maanisha, woiiiiiiiiih.
 
Ahsanteeeeeh kipenziiiiih,
Afu ndo nilitaka nikuite, bora umeona, maan wee hujawahi niangusha nikiomba lips unanipa na shingo.
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Asante sana dear
That dress perfectly suits you ...na hiyo ndo raha ya kuwa na mwili kama huo, hata uvae nini bado unapendeza tu [emoji3531] ...
 
Fanya wepesi

Nione hicho kigauni

Sio kwa hizo sifa za mahondaw

Eti nyookoo[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shouzzzzzzzz angu utamuweza? Km vile mie navompambaga naye leo kaamua anijaze wee, hakna hata kitu yaan.

Eti mahondaw msimulie huyu mtu ulichokiona, uhalisia lakini. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Asante sana dear
That dress perfectly suits you ...na hiyo ndo raha ya kuwa na mwili kama huo, hata uvae nini bado unapendeza tu [emoji3531] ...
Kipenziiii acha kunijaza, wee huu mwli huoni hapo nipo km skeleton tyuuh, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Labda kigauni hicho mmekipenda, ila kwangu huu mwili daaaah
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shouzzzzzzzz angu utamuweza? Km vile mie navompambaga naye leo kaamua anijaze wee, hakna hata kitu yaan.

Eti mahondaw msimulie huyu mtu ulichokiona, uhalisia lakini. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wigelekelo coca ni noumaaaaa .... Mtoto rangi ya mtumeee kaenda hewani na kashepu fulani hivi akikubinulia Huo mzagamuo wake ssasssaaaa..... hapana chezea cocastic kabisa!!
 
Kipenziiii acha kunijaza, wee huu mwli huoni hapo nipo km skeleton tyuuh, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Labda kigauni hicho mmekipenda, ila kwangu huu mwili daaaah
Trust me ,You have a really great sense of fashion.
Hata hivyo unapendeza na mwili wako .. you're not that skinny bado una mwili mzuri .
 
Back
Top Bottom