Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Safi lini hii
Screenshot_20220317_211305.jpg
 
😅😅😅 Moshi kuna ng’ombe nyingi, twende.

Afu sisi ambao hatujaweka wasap status post za Magufuli day ni kwamba sio wazalendo au.
Moshi kunogileee😂😂

Yaani nilishangaa mchana kila mtu kaweka status ya Magu ndio nikakumbuka kumbe leo ndio ile siku.
Hahaa uzalendo tunao moyoni
 
Back
Top Bottom