Afadhali…
Leo naona nitalipwa madeni yangu
Ka oficial dress kametulia
Kuajiriwa ni kugumu basi tu, tena uwe na kazi zile zinazotaka weekly, monthly na qouters report utaona maisha magumu
Asbh uwaze kutoka kitandani mpk ujiandae ufike ofisini, ukifika unawaza breakfast na lunch time. Ukishashiba unawaza muda ufike uondoke
Ikifika alhamis unashusha pumzi, at least week iko ukingoni.
Waliojiajiri nao wana malalamiko yao mengi sana , ni vile tu hatujawasikia.