Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,214
- 29,383
Naomba niletee jezi yangu Ile niliyoweka kabatini upande wa kushoto,ipo Kwa chini,kisha niselfike tasafali!!Selfie moja tafazali na Arsenal jersey
😂😂😂tawileeeeMpiga picha alikua makini na kazi, nilimwambia mapema kuwa hii picha ni spesheli so amakinike basi naye nashukuru hakuniangusha
Kwenye nachuro hapo hahahaaaa niache kwanza nipo kwa mfungo🤣🤣🤣🤣
Endelea boss
Siyo wewe[emoji23]Mimi hapa arsenal nipo..huna haja ya kutafuta
Asanteeee hii nimeipata😋
Safiii
google 😎😎Hibiscus 🌺 tea inafanyaje mwilini?
Naikwepaga kwa mzabuni
Fanya hima ndugu kabla hujachelewa😂Mweee [emoji1751][emoji134]
Utanifanya nianze kutafuta mashabiki wa Asenali humu [emoji1787]
Kingine nimesimama mlangoni nasubiri kufunguliwa
Ninayo nyingine nzuriiii, tukionana ujichagulie moja nikupatieNakusikiliza boss wangu 😹
Nimeenda kuiangalia tena
Sunglasses pambeee
Urudiweeeeee