hapa nimekaa na toto ya kijamaicha imeisha nivuruga ubongo wangu.. ina magonjwa yangu yote.. tatoo moja matata kwenye shingo na mkononi kipindi kala vikuku flani hivi alafu mzigo.. hiii bagoshaaa vita ni kali sanaaa
Weee Anne Sitaki mie.... bosiii wangu mkubwa mkubwa anitosha miee akhaaaa!!!ππππβοΈβοΈβοΈπΆπ½ββοΈπΆπ½ββοΈπΆπ½ββοΈπΆπ½ββοΈπΆπ½ββοΈπΆπ½ββοΈπΆπ½ββοΈ
Tuko pamoja Boss Lady. Nyanya zangu zinakaribia kuiva. Na dengu zinaendelea vizuri huku Misungwi. Tukutane wakati wa mauzo mwezi wa tano nasi tukale baga na pizza
Tuko pamoja Boss Lady. Nyanya zangu zinakaribia kuiva. Na dengu zinaendelea vizuri huku Misungwi. Tukutane wakati wa mauzo mwezi wa tano nasi tukale baga na pizza
Progress and inner peace both begin the moment you take a deep breath and choose not to allow another person or event to control your thoughts. You are not what happened. You are what you choose to become in this moment. Let go, breathe, and begin again.