Selfika na JF: Snap it. Show it

Anawashwa washwaa acha nijipange nichukue steel wire nikamsuguee aache kurukia vita ya ukraine atapusuka
Maskiniiii

🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Mbona mfa maji sasa?

Haya kunywa maji ipoe, poza engine ilo maana limepiga mileage ya kutosha. And next time stop putting too much seriousness on joke stuffs πŸ€ΈπŸ»β€β™€οΈπŸ˜ΉπŸ˜†πŸ˜†

Pyeeeeee
Muone
Ati nimerukia vita, wakati wewe ndiyo uliibukia comment yangu.

Emu nipishe niende zangu πŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈ
 
πŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
Ni balaaaa........πŸ‘Œ
Ahsante boss ladyπŸ™
✌️✌️✌️😘✌️✌️😜
 
Kaka hii misosi ndio wanaita Baga sio [emoji3]
hapa nimekaa na toto ya kijamaicha imeisha nivuruga ubongo wangu.. ina magonjwa yangu yote.. tatoo moja matata kwenye shingo na mkononi kipindi kala vikuku flani hivi alafu mzigo.. hiii bagoshaaa vita ni kali sanaaa πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji118] msukuma nawewe mpambe sio!![emoji1787]
Mi sijatetereka katika misimamo yangu kukuhusu wewe tangu dei wani. Wewe ni Bosi Ledi wa ukweli 100% na daima utabakia hivyo. Yaani hata Zali wa Dayamondi Pulatinamuzi akasome na ubosiledi wake feki [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
hapa nimekaa na toto ya kijamaicha imeisha nivuruga ubongo wangu.. ina magonjwa yangu yote.. tatoo moja matata kwenye shingo na mkononi kipindi kala vikuku flani hivi alafu mzigo.. hiii bagoshaaa vita ni kali sanaaa [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Shetani anakaribia kuuteka mji mkuu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nenda sina haja hata ya kukupisha kula kushoto kula kulia ufike unapo kwenda πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ unajua engine kupoa wewe
 
Mi sijatetereka katika misimamo yangu kukuhusu wewe tangu dei wani. Wewe ni Bosi Ledi wa ukweli 100% na daima utabakia hivyo. Yaani hata Zali wa Dayamondi Pulatinamuzi akasome na ubosiledi wake feki [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Msukuma wee chizi ujue!!πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™ŒπŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…