ππππ wewe huyo sasa
Amejihifadhi ki staha kabisaWe jamaa na kapicha haka. Sijui unamlenga nani
Hakika uzee ni busara.Siamini
Kama unazeeka
Kutamani ni sawa na kuchagua utende dhambi au usitende ipo ndani ya uwezo wako ππUzuri wa mwingine unakuhusi Nini wewe zaidi ya kukutia tamaa!
Swala la kutamani linatokana na ushawishi kwenye mazingira.
mchukia kaptula
kama anataka zingine folder zima zipo ππππAmejihifadhi ki staha kabisa
Miaka yako kwenye kupikwa itakuwa si chochote kama haitakusaidia kutenda kweli.Tumepikwaa 10 years school zote.. hizi zimekaa kwa head
Soteriology, Pnuematology, Atonement Theory, Angelology/ Demonology, Eschatology, Ecclesiology, Canonicity
Tatizo Vijana wanasifia yasiyopaswa.Uzi tayari ushakua wa dini, toka selfika hadi kuwa dini, woiiiiiiiih
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Na kwanini utamaniUzuri wa mwingine unakuhusi Nini wewe zaidi ya kukutia tamaa!
Swala la kutamani linatokana na ushawishi kwenye mazingira.
ππππ Vipi Bia pombe safari lager wine alcohol unasemaje maana waroma wanazichapa kama kawa na zaidi ya 10 years?... naona pumzi imekata πππ nani kakuambia hajasoma Theology.. au ulitaka akutangazie? au nikupe prove kasoma au utabisha πππMiaka yako kwenye kupikwa itakuwa si chochote kama haitakusaidia kutenda kweli.
Hakuna watu wamepikwa hii dunia kama viongozi wa kanisa katoliki ila ajabu pamoja na kuiva kote baadhi yao wameamua kuunga mkono mambo yaliyo chukizo kwa Mungu .
Kwahiyo hiyo miaka 10 na hayo mavitu yote umetaja,bila kuisimamia kwenye kweli basi ulipoteza muda bure.
Halafu basi unajikutaga wewe mwamba pekeyako umesoma na unajua kila kitu.
Mimi nina kaelimu kangu kadogo ka bible knowledge na nikakafanyia necta..+elimu ya mafundisho ninayopata sehemu mbalimbali +mafundisho ya Roho Mtakatifu mwenyewe ambayo ni muhimu kuliko mengine yote.
Na nayatumia kwa maendeleo yangu binafsi kiroho na wala si kuja kudorishia watu kwamba na mimi nilisoma.
Mwakaseghe hata theology hakwenda kusoma formally.
alafu eti ivaaa gauni hadi kwenye visigono.. khaaaa...ebu hata wewe shosteee sema jamani
Hahaaaaaa nani huyoAmejihifadhi ki staha kabisa
Wewe vaa pedo si lazima unielewe na elimu yangu.Mtakau ka mwaisaaa.. maana mashambulizi yamekuwa makali sanaaakaelemewa sanaaa.. hakuna anae muelewaaa na elimu yake
Mimi sitaki hata kuusikiaHakika uzee ni busara.
Hili ni swali?Na kwanini utamani
ππππ usinijaze upepo nikamshusha mzima mzima hapa ndio ujue nimempa maujanja au. laaaa... ππππ mtu anavaaa kama anaenda kuhani msibani.. kumbe mnaenda three star hotel kunywa ka kaahawaaaa πππhuyo wako badooo sana kwa unyana wa swaggz, maujanja na uzungu, hanifikii hata roboo, mie ni komesha, nna makombora ya hataree kwenye gallery angu, nlishawahi weka hapa,
Huyo kanizidi tatooo na shape, wee acha watu wawe casual bhana, mie mambo ya dini staki kabisaa.
Avae magauni ya marinda huyo awe mama mkubwa wa kirangi. Woiiiiiiiiih
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Inaonekana una swagga hatari ..huyo wako badooo sana kwa unyana wa swaggz, maujanja na uzungu, hanifikii hata roboo, mie ni komesha, nna makombora ya hataree kwenye gallery angu, nlishawahi weka hapa,
Huyo kanizidi tatooo na shape, wee acha watu wawe casual bhana, mie mambo ya dini staki kabisaa.
Avae magauni ya marinda huyo awe mama mkubwa wa kirangi. Woiiiiiiiiih
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app